MASWALI NA MAJIBU 12

MASWALI NA MAJIBU 12 JUU YA MAFUNDISHO YA WASABATO Niliuliza maswali 12 kwenye Facebook group ‘Mjadala wa Biblia baina ya Wasabato, Wakatholiki, Waprotestant na Walokole’ (2017). Hapo chini ni majibu (na maelezo kwenye p.10) ya Msabato Allan John (administrator mmoja wa FB Group hiyo) juu ya mafundisho ya Wasabato: William Miller, Hiram Edson na Ellen

Tukusanyike siku gani?

JE, TUKUSANYIKE  SIKU GANI  KATI  YA JUMAMOSI  AU JUMAPILI? Watu wengi hujiuliza juu ya ‘sabato’ – Je, tukusanyike siku gani kati ya jumamosi au jumapili? Sawasawa na Agano Jipya, jumapili inaitwa ‘siku ya kwanza ya juma’ na inafuata ‘Sabato’, yaani, ‘jumamosi’. “Hata sabato ilipokwisha, kupambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule
Theme BCF By aThemeArt - Proudly powered by WordPress .
BACK TO TOP