MATENDO 15:10-29

MATENDO 15:10-29 Mafundisho ya mtume Paulo ni sawa na mafundisho ya mitume wengine na wazee wa huko Yerusalemu. Walikuwepo waumini wanaotoka Yerusalemu waliojitahidi kuifuata sheria ya Musa nao walisema, “Msipotahiriwa kama desturi ya Musa hamwezi kuokoka.” Ndipo, “Mitume na wazee wakakusanyika wapate kulifikiri neno hilo.” Lakini Petro alisema, “mbona mnamjaribu Mungu na kuweka kongwa juu

WAKOLOSAI 2:15,16

Wakol.2:15,16 – Mtume Paulo anafundisha kuwa ni jambo la udanganyifu kuwafundisha watu washike siku ya Sabato. Kwa sababu ya wokovu wetu ndani ya Kriso (Wakolosai 2:11-15) Paulo anasema,  “Basi, MTU ASIWAHUKUMU ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au SABATO; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali
Theme BCF By aThemeArt - Proudly powered by WordPress .
BACK TO TOP